• HABARI MPYA

    Sunday, October 11, 2015

    'BWANA MKUBWA' HUYU ALITIA HURUMA LEO BAADA YA MALAWI KUPATA BAO

    Mkuu wa msafara wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Ahmed Iddi Mgoyi baada ya timu hiyo akisikitika baada ya Malawi kupata bao Uwanja wa Kamuzu mjini Blantyre, katika mchezo wa marudiano hatua ya kwanza ya mchujo wa kuwania kupangwa kwenye makundi ya kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Kombe la Dunia mwaka 2018 nchini Urusi. Malawi imeshinda 1-0, lakini Tanzania imesonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 2-1 baada ya awali kushinda 2-0 Dar es Salaam.
    Mgoyi akifuatilia mchezo huo leo Uwanja wa Kamuzu na chini akiwa na Maofisa wenzake katika meza kuu ya Uwanja huo

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: 'BWANA MKUBWA' HUYU ALITIA HURUMA LEO BAADA YA MALAWI KUPATA BAO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top