• HABARI MPYA

  Saturday, December 20, 2014

  STERLING MWANASOKA BORA CHIPUKIZI ULAYA 2014

  KINDA Muingereza, Raheem Sterling ameshinda tuzo ya Mwanasoka Bora chipukizi wa Ulaya mwaka 2014, maarufu kama European Golden Boy. 
  Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 20, aliisaidia Liverpool kukaribia kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya England msimu uliopita baada ya kumaliza nafasi ya pili nyuma ya Manchester City.
  Na pia alikuwa ana mchango katika kampeni za timu yake ya taifa, England mwaka 2014, baada ya kucheza katika Kombe la Dunia na kufuzu Euro 2016.
  Sterling took to Twitter to reveal his delight at receiving the award on Saturday
  Sterling ameweka kwenye Twitter picha hii kufurahia tuzo yake hiyo aliyoshinda leo
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: STERLING MWANASOKA BORA CHIPUKIZI ULAYA 2014 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top