• HABARI MPYA

  Monday, December 08, 2014

  SIMBA SC NA MTIBWA SUGAR KATIKA PICHA JANA CHAMAZI

  Kiungo wa Simba SC, Twaha Abubakar 'Messi' akipasua katikati ya mabeki wa Mtibwa Sugar jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam timu hizo zilipomenyana katika mchezo wa kirafiki. Mtibwa ilishinda 4-2.
  Ramadhani Singano 'Messi' wa Simba SC kushoto akimiliki mpira huku akibughudhiwa na Henry Joseph wa Mtibwa Sugar
  Kikosi cha Simba SC kilichokula 4-2 jana
  Kikosi cha Mtibwa Sugar kilichoipa Simba SC 4-2 jana 

  Wachezaji wa Mtibwa Sugar wakimpongea Ame Ally baada ya kufunga bao

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC NA MTIBWA SUGAR KATIKA PICHA JANA CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top