• HABARI MPYA

  Thursday, December 11, 2014

  SIMBA SC MAZOEZINI UWANJA WA AMAAN ZANZIBAR LEO

  Wachezaji wa Simba wakiwa Uwanja wa Amaan, Zanzibar katika mazoezi yao ya leo kujiandaa na mchezo wao wa Nani Mtani Jembe unaotarajiwa kjufanyika Jumamosi Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Hapa wanamsikiliza kocha wao, Mzamvia Patrick Phiri mwenye jaketi jekundu
  Kocha Phiri akitoa maelekezo kwa wachezaji wake 
  Kocha Phiri akizungumza na mshambuliaji mpya, Simon Sserunkuma kulia. katikati ni Kocha Msaidizi, Suleiman Matola
  Wachezaji wa Simba wafanya mazoezi mepesi Uwanja wa Amaan leo. Picha na www.zanzinews.com 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC MAZOEZINI UWANJA WA AMAAN ZANZIBAR LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top