• HABARI MPYA

  Wednesday, December 03, 2014

  DOMAYO NA KIMWAGA WAANZA MAZOEZI KIKAMILIFU AZAM FC

  Viungo wa Azam FC waliokuwa majeruhi kwa muda mrefu, Frank Domayo (kushoto) na Joseph Kimwaga kulia wakiwa mazoezi na wenao leo asubuhi Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam baada ya kurejea kutoka Afrika Kusini kufanyiwa uchunguzi wa maumivu yao, ambako imethibitishwa wamepona kabisa na wanaweza kuendelea na kazi.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DOMAYO NA KIMWAGA WAANZA MAZOEZI KIKAMILIFU AZAM FC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top