• HABARI MPYA

  Friday, December 05, 2014

  BALOTELLI ATINGA MAZOEZINI LIVERPOOL NA FERRARI LA 'BEI CHAFU'

  Mario Balotelli was back at Liverpool's Melwood training complex on Wednesday
  Mshambuliaji Mario Balotelli akiwasili mazoezini Liverpool katika viwanja vya Melwood Complex juzi jioni na gari lake aina ya Ferrari lenye thamani ya Pauni 240,000, baada ya kupona maumivu yaliyomuweka nje kwa wiki mbili.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BALOTELLI ATINGA MAZOEZINI LIVERPOOL NA FERRARI LA 'BEI CHAFU' Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top