• HABARI MPYA

  Thursday, December 18, 2014

  ANGEL DI MARIA AMBWAGA MESSI TUZO ARGENTINA

  WINGA wa Manchester United, Angel di Maria ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora Anayecheza nchini Argentina, kutoka Waandishi wa Habari nchini humo.
  Di Maria, ambaye alijiunga na kikosi cha Louis van Gaal kwa dau la rekodi klabu, Pauni Milioni 60 msimu huu, ameshinda Olimpia de Plata katika sherehe zilizofanyika juzi baada ya kumpiku, Lionel Messi wa Barcelona.
  Di Maria aliiwezesha klabu yake ya zamani, Real Madrid kutwaa taji lake la 10 Ulaya Mei mwaka huu na Argentina kufika Fainali ya Kombe la Dunia ambayo hakucheza kwa kuwa majeruhi na timu ikafungwa na Ujerumani. Mchezaji huyo mtanashati amekuwa na mwanzo mzuri katika soka ya England.
  The winger joined Manchester United for a club record £60m fee in the summer
  Angel Di Maria ameshinda tuzo ya waandishi wa Habari ArgentinaIt was the first time that Barcelona forward Lionel Messi has not won the award since 2006
  Hii ni mara ya kwanza Lionel Messi anakosa tuzo hiyo tangu mwaka 2006
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ANGEL DI MARIA AMBWAGA MESSI TUZO ARGENTINA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top