DROGBA AUMIA BAADA YA DAKIKA 28 TU UWANJANI NA KUMPISHA OSCAR
Maumivu: Mshambuliaji wa Didier Drogba akiugulia maumivu baada ya kuumizwa katika mchezo wa kirafiki leo Uwanja wa Groupama Arena, dhidi ya Ferencavaros nchini Hungary. Chelsea ilishinda 2-1.
Drogba akipatiwa matibabu ya kifundo cha mguu uwanjani mjini Budapest
Aliahindwa kuendelea na nafasi yake ikachukuliwa na Oscar
Mkongwe huyo mwenye umri wa miaka 36 alicheza kwa dakika 28 tu kabla ya kuumia na kwenda benchi
World Cup: Belgium sends New Zealand packing
-
Belgium needed a win to continue on to the knockout round, and it delivered
in dominant fashion. Plus: Spain knocks out Uruguay and Cape Verde moves on.
0 comments:
Post a Comment