| Akufaaye kwa dhiki, ndiye rafiki; Mmiliki wa hoteli ya Sapphire Court ya Kariakoo, Dar es Salaam, Abdulfatah Salim Saleh kushoto akiwa na aliyekuwa kocha wa Simba SC, Mfaransa Patrick Liewig mjini Paris, Ufaransa jana. Hapa ni nyumbani kwa Liewig na Abdulfatah amemtembea kocha hiyo akiwa katika ziara ya mapumziko katika nchi kadhaa Ulaya na Amerika. Abdulfatah alimsaidia Liewig alipofukuzwa na Simba SC hadi alipolipwa sehemu ya fedha zake na kurejea Ufaransa. |
0 comments:
Post a Comment