• HABARI MPYA

  Saturday, November 18, 2017

  SALAH AFUNGA MAWILI LIVERPOOL YAIPIGA 3-0 SOUTHAMPTON

  Winga Mohamed Salah akishangilia baada ya kufunga mabao mawili dakika za 31 na 41 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Southampton kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Anfield. Bao lingine la Wekundu hao limefungwa na Philippe Coutinho dakika ya 68 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SALAH AFUNGA MAWILI LIVERPOOL YAIPIGA 3-0 SOUTHAMPTON Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top