• HABARI MPYA

  Wednesday, November 15, 2017

  LACAZETTE AIFUNGIA MAWILI UFARANSA YATOA SARE 2-2 NA UJERUMANI

  Mshambuliaji wa Arsenal, Alexandre Lacazette akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili dakika za 33 na 71 timu yake ya taifa, Ufaransa usiku wa jana ikilazimisha sare ya 2-2 na wenyeji, Ujerumani Uwanja wa RheinEnergie mjini Cologne. Mabao ya Ujerumani yalifungwa na Timo Werner dakika ya 56 na  Lars Stindl dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LACAZETTE AIFUNGIA MAWILI UFARANSA YATOA SARE 2-2 NA UJERUMANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top