Sergio Ramos akifurahia na wenzake baada ya kufunga mabao mawili kwa penalti dakika za 35 na 53 Hispania wakitoa sare ya 3-3 na wenyeji, Urusi usiku wa jana Uwanja wa Krestovskyi mjini St. Petersburg katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa. Bao lingine la Hispania lilifungwa na Jordi Alba dakika ya tisa, wakati ya Urusi yalifungwa na Fedor Smolov dakika ya 41 na 70 na Aleksey Miranchuk dakika ya 51 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
College Football 2024: Winners and Losers from Week 2
-
If you thought a reasonably tame schedule meant Week 2 wouldn't be loaded
with intrigue, college football had different plans. What a beautiful start
to the…
30 minutes ago
0 comments:
Post a Comment