Mshambuliaji wa Arsenal, Alexandre Lacazette akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili dakika za 33 na 71 timu yake ya taifa, Ufaransa usiku wa jana ikilazimisha sare ya 2-2 na wenyeji, Ujerumani Uwanja wa RheinEnergie mjini Cologne. Mabao ya Ujerumani yalifungwa na Timo Werner dakika ya 56 na Lars Stindl dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
F1 Q&A: Is this season Norris' best chance to win title?
-
Is this Lando Norris' best shot at the title, and what is 'scrubbing'
tyres? BBC F1 correspondent Andrew Benson answers your questions after the
Azerbaijan...
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment