• HABARI MPYA

  Wednesday, November 15, 2017

  JEDINAK APIGA HAT TRICK NA KUIPELEKA AUSTRALIA KOMBE LA DUNIA

  Nahodha wa Australia, Mile Jedinak akishangilia baada ya kuifungia mabao yote matatu timu yake dakika ya 54 na mengine mawili kwa penalti dakika za 71 na 85, ikiilaza 3-1 Honduras katika mchezo wa mchujo wa kuwania tiketi ya Kombe la Dunia mwakani Urusi uliofanyika leo Uwanja wa ANZ mjini Sydney. Ushindi huo unaifanya Australia ifuzu Kombe la Dunia baada ya sare ya 0-0 kwenye mchezo wa kwanza PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: JEDINAK APIGA HAT TRICK NA KUIPELEKA AUSTRALIA KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top