Nahodha wa Australia, Mile Jedinak akishangilia baada ya kuifungia mabao yote matatu timu yake dakika ya 54 na mengine mawili kwa penalti dakika za 71 na 85, ikiilaza 3-1 Honduras katika mchezo wa mchujo wa kuwania tiketi ya Kombe la Dunia mwakani Urusi uliofanyika leo Uwanja wa ANZ mjini Sydney. Ushindi huo unaifanya Australia ifuzu Kombe la Dunia baada ya sare ya 0-0 kwenye mchezo wa kwanza PICHA ZAIDI GONGA HAPA
π Messi's heir: Who will be MVP of the 2026 World Cup?
-
The World Cup isn't the only trophy being handed out in New Jersey in
July.There is also the small matter of the tournament's individual honours,
with the ...
9 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment