• HABARI MPYA

    Saturday, March 12, 2016

    MAZOEZI YA MWISHO AZAM FC KABLA YA KUIVAA BIDVEST WITS LEO JOHANNESBURG

    Kocha Mkuu wa Azam FC, Muingereza Stewart Hall (kushoto) akiongoza mazoezi ya mwisho ya timu yake jana Uwanja wa Bidvest Wits, Johannesburg Afrika Kusini kabla ya mchezo wa leo wa Kombe la Shirikisho Afrika mjini humo
    Wachezaji wa Azam FC wakiwa mazoezini kwa ajili ya mchezo huo wa kwanza Raundi ya Kwanza Kombe la Shirikisho Afrika
    Kiungo Frank Domayo akicheza na mpira kwenye mazoezi hayo ya jana jioni
    Wachezaji wa Azam FC wakipasha jana Uwanja wa Bidvest Wist
    Azam FC walionekana wako vizuri kuelekea mchezo huo utakaoanza Saa 1:00 usiku
    Beki Serge Wawa (kulia) raia wa Ivory Coast akiwa na mchezaji mwenzake wa zamani wa El Merreikh ya Sudan, mshambuliaji Mkenya Allan Waanga (kushoto)

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAZOEZI YA MWISHO AZAM FC KABLA YA KUIVAA BIDVEST WITS LEO JOHANNESBURG Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top