• HABARI MPYA

  Wednesday, August 02, 2023

  KIKAO CHA KUJADILI MAPENDEKEZO YA KANUNI MPYA ZA LIGI KUU


  BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) jana ilikutana na viongozi wa klabu zinazoshiriki Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara kujadili mapendekezo ya maboresho ya kanuni za ligi hiyo inayotarajiwa kuanza Agosti 15.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KIKAO CHA KUJADILI MAPENDEKEZO YA KANUNI MPYA ZA LIGI KUU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top