KIKOSI cha Simba kimerejea nchini Alfajiri ya leo baada ya kambi ya wiki tatu Jijini Ankara nchini Uturuki kujiandaa na msimu mpya na Jumapili kitakuwa na mchezo wa kirafiki dhidi ya mabingwa wa Zambia, Power Dynamo katika Simba Day Uwanja wa Benjamín Mkapa Jijini Dar es Salaam.
PICHA: SIMBA SC KUWASILI DAR ES SALAAM
VIDEO: SIMBA SC SAFARINI KUREJEA DAR
0 comments:
Post a Comment