WINGA chipukizi wa Kimataifa wa Tanzania, Oscar Adam Paul (katikati) amejiunga na klabu ya Kakamega Homeboyz ya Kenya kutoka Tanzania Prisons ya nyumbani, Mbeya.
Usajili umefanikishwa na kocha mpya wa Kakamega Homeboyz, Patrick Odhiambo, ambaye awali alifanya kazi na Oscar Adam Paul alipokuwa anafundisha Tanzania Prisons FC kabla ya kufukuzwa mwaka jana.
0 comments:
Post a Comment