• HABARI MPYA

  Sunday, April 09, 2023

  SIMBA SC TAYARI WAPO MBEYA KUIVAA TENA IHEFU KESHO


  KIKOSI cha Simba kiliondoka Dar es Salaam jana usiku kwa ndege kwenda Mbeya ambako leo kitaunganisha usafiri wa barabara hadi Mbarali kwa ajili ya mchezo wake ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Ihefu SC kesho Uwanja wa Highland Estate, Mbarali, Mbeya. 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC TAYARI WAPO MBEYA KUIVAA TENA IHEFU KESHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top