• HABARI MPYA

  Sunday, April 09, 2023

  MAGWIJI WA PAN AFRICANS WALIPOKUTANA NYUMBANI KWA BALOZI DAU

  MAGWIJI wa klabu bingwa ya zamani Tanzania, Pan Africans ambao ni zao la timu ya watoto wa Yanga chini ya kocha Mromania, Profesa Victor Stanslescu wiki hii wamekutana na kufuturu pamoja nyumbani kwa mchezaji mwenzao, Balozi Dk. Ramadhani Dau, Kigamboni Jijini Dar es Salaam. 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAGWIJI WA PAN AFRICANS WALIPOKUTANA NYUMBANI KWA BALOZI DAU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top