• HABARI MPYA

  Thursday, January 06, 2022

  WATANO WAFUNGANA KWA MABAO KILELENI LIGI KUU


  WAKATI Ligi Kuu ya Tanzania Bars imesimama kupisha michuano ya Kombe la Mapinduzi, wachezaji watano wanafungana kwa kufunga mabao mengi zaidi ya wengine, kila mmoja matano.


  Ligi Kuu imesimama, vigogo, Yanga SC wakiwa wanaongoza kwa pointing zao 29, tank zaidi ya mabingwa watetezi, Simba ambao hats hivyo wana mechi moja mkononi.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WATANO WAFUNGANA KWA MABAO KILELENI LIGI KUU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top