• HABARI MPYA

  Saturday, January 08, 2022

  DAVID UDO; MIDO MNIGERIA ANAYEWANIA KUSAJILIWA SIMBA SC


  KIUNGO Mnigeria, David Udoh jana aliichezea Simba SC katika mchezo wa Kundi B Kombe la Mapinduzi ikitoa sare ya bila kufungana na wenyeji, Mlandege SC Uwanja wa Amaan, Zanzibar.
  Udoh kwa pamoja na winga Muivory Coast, Cheick Ahmed Tenena Moukoro na kiungo mwingine, Msudan Sharaf Eldin Shiboub wapo Simba kwa majaribio kupitia michuano hii ya Mapinduzi na atakayemvutia kocha Mspaniola, Pablo Franco Martin atasajiliwa.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DAVID UDO; MIDO MNIGERIA ANAYEWANIA KUSAJILIWA SIMBA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top