• HABARI MPYA

  Tuesday, January 04, 2022

  MABINGWA WATUA ZENJI KUTETEA KOMBE LA MAPINDUZI


  MABINGWA watetezi, Yanga SC wamewasili leo visiwani Zanzibar kuelekea mchezo wao wa ufunguzi wa Kundi B Kombenla Mapinduzi dhidi ya Taifa Jang’ombe kesho Saa 2:15 usiku Uwanja wa Amaan.
  Wakati huo huo: Uongozi wa Yanga umetoa orodha ya Matawi yaliyochukua nakala za Katiba mpya zenye mwongozo wa mageuzi ya kiuendeshaji na fomu za kuomba uanachama wa klabu hiyo.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MABINGWA WATUA ZENJI KUTETEA KOMBE LA MAPINDUZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top