• HABARI MPYA

  Thursday, January 06, 2022

  LUSAJO MCHEZAJI BORA, MMAREKANI KOCHA BORA LIGI KUU DESEMBA


  MSHAMBULIAJI wa Namungo FC, Relliant Lusajo ameteuliwa mchezaji Bora wa Ligi Kuu ys Tanzania Bara mwezi Desemba.
  Naye Mmarekani, Melis Medo wa Coastal Union ameteuliwa kuwa Kocha Bora wa Ligi Kuu mwezi Disemba, 2021. 
  Aidha, Sikitu Kilakala ameteuliwa Meneja Bora wa Uwanja mwezi Disemba kwa kazi yake nzuri Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam
  .


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LUSAJO MCHEZAJI BORA, MMAREKANI KOCHA BORA LIGI KUU DESEMBA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top