• HABARI MPYA

  Friday, January 07, 2022

  KOCHA MKENYA WA BIASHARA UNITED ATUA TA PRISONS

  KOCHA Mkenya, Patrick Omuka Odhiambo amejiunga na Tanzania Prisons kwa mwaka mmoja kutoka Biashara United ya Mara.
  Huo ni miongoni mwa mikakati ya Prisons chini ya Kamishina Jenerali wa Jeshi la Magereza nchini, Meja Jenerali Suleiman Mzee kuhakikisha msimu ujao timu hiyo inapata tiketi ya kucheza michuano ya Afrika.


  Pichani Odhiambo akiwa na Mkurugenzi wa Ufundi wa Jeshi la Magereza nchini, Kelvin Frednand wakati wa kusaini mkataba huo.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KOCHA MKENYA WA BIASHARA UNITED ATUA TA PRISONS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top