• HABARI MPYA

  Saturday, January 08, 2022

  AFCON YOTE LIVE KUPITA UTV NW ZBC 2 NDANI YA AZAM TV


  KUPITIA chaneli za UTV na ZBC 2, Watanzania estallara upitwa na michuano ya #AFCON2022 kule Cameroon. 
  Mashabiki wa soka la fursa ya kushuhudia Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika zinazotarajiwa kuanza kesho nchini Cameroon. Mechi zote 52 zitaonyeshwa LIVE kuanzia sherehe za ufunguzi hadi mechi ya fainali.
  Mechi zitarushwa kupitia #UTV chaneli namba 108 na #ZBC2 chaneli namba 406.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AFCON YOTE LIVE KUPITA UTV NW ZBC 2 NDANI YA AZAM TV Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top