SIMBA SC WALIVYOREJEA LEO KUTOKA NIGERIA BAADA YA KUWASHUGHULIKIA PLATEAU UNITED LIGI YA MABINGWA
Wachezaji wa Simba SC baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam kutoka Nigeria ambako juzi waliwachapa wenyeji 1-0, Plateau United Uwanja wa Kimataifa wa Jos katika mchezo wa kwanza wa Raundi ya Awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika
Item Reviewed: SIMBA SC WALIVYOREJEA LEO KUTOKA NIGERIA BAADA YA KUWASHUGHULIKIA PLATEAU UNITED LIGI YA MABINGWA
Rating: 5
Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
0 comments:
Post a Comment