• HABARI MPYA

  Wednesday, December 09, 2020

  JORGINHO AISAWAZISHIA CHELSEA YATOA SARE NA KRASNODAR


  Jorginho akishangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la kusawazisha kwa penalti dakika ya 28 katika sare ya 1-1 na Krasnodar iliyotangulia kwa bao la Remy Cabella dakika ya 24 kwenye mchezo wa Kundi E Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Stamford Bridge, London. Chelsea na Sevilla zimefuzu kutoka kundi hilo kwenda 16 Bora
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: JORGINHO AISAWAZISHIA CHELSEA YATOA SARE NA KRASNODAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top