Mshambuliaji Mbrazil, Gabriel Jesus akisaini mkataba mpya wa miaka mitano kuendelea kuichezea Manchester City hadi mwaka 2023 ambao unamfanya sasa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21 awe analipwa Pauni 100,000 kutoka 70,000 kwa wiki alizokuwa analipwa katika mkataba wake wa awali aliosaini Januari 1, mwaka jana 2017. Jesus amefunga mabao 24 tangu ajiunge na Man City akiiwezesha pia kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Chelsea ready to demand major fee for Pedro Neto amid Liverpool and Man
City interest - as former boss Enzo Maresca eyes reunion
-
KIERAN GILL: The Premier League club are not actively touting their
Portuguese 26-year-old for sale, but Blues insiders are aware of the asking
prices bein...
29 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment