KIVU MAWE KUZIPIGA MA JACOB MAGANGA DESEMBA 31 TAIFA
Bondia Kivu Abdi 'Kivu Mawe' (kushoto) akitunishiana misuli na Jacob Maganga baada ya kusaini mkataba wa makubaliano ya kuzipiga Desemba 31, mwaka huu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam katika pambano lisilo la ubingwa uzito wa Light Middle
0 comments:
Post a Comment