Ryad Mahrez (kulia) akishangilia na wenzake baada ya kuifungia kwa penalti Leicester City dakika ya 61 hilo likiwa bao lake la pili usiku wa jana baada ya awali kufunga dakika ya 29 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Club Brugge kwenye mchezo wa Kundi G Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Jan Breydel mjini Brugge. Bao lingine la Leicester lilifungwa na Marc Albrighton dakika ya tano PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Groups demand action against child exploitation
-
Renewed awareness of children’s rights, dignity and protection have been
identified as critical measures to curb child abuse in Nigeria and across
Africa...
2 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment