Nyota wa Argentina, Sergio Aguero akishangilia baada ya kuifungia Manchester City mabao matatu peke yake katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Borussia Monchengladbach katika mchezo wa Kundi D Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Etihad. Bao lingine la City lilifungwa na Kelechi Iheanacho PICHA ZAIDI GONGA HAPA
INEC set to introduce downloadable PVCs, full online voter registration
-
Independent National Electoral Commission (INEC) is set to introduce
“downloadable Permanent Voter Cards (PVCs)” for voters who have misplaced
or defaced...
43 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment