Kiungo mpya wa Manchester United aliyesajiliwa kwa Pauni Milioni 89, Paul Pogba akiruka juu kuifungia timu hiyo bao la nne dakika ya 42 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Leicester City katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa Old Trafford. Mabao mengine ya United yalifungwa na Chir Smalling dakika ya 22, Juan Mata dakika ya 37 na Marcus Rashford dakika ya 40 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
ICE deports former NFL player
-
Daniel Ogama Adongo, 37, was removed from the U.S. on June 20 after ICE
said he overstayed his visa in 2016
5 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment