• HABARI MPYA

  Ijumaa, Septemba 30, 2016

  IBRAHIMOVIC AIFUNGIA MAN UNITED BAO PEKEE IKISHINDA 1-0 ULAYA

  Mshambuliaji wa Manchester United, Zlatan Ibrahimovic (kulia) akimtoka beki wa Zorya Luhansk ya Ukraine, Mikhail Sivakov anayejaribu kucheza rafu katika mchezo wa Kundi A Europa League usiku huu Uwanja wa Old Trafford. United ilishinda 1-0 bao pekee la Ibrahimovic dakika ya 69 akimalizia kazi nzuri ya Nahodha, Wayne Rooney PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: IBRAHIMOVIC AIFUNGIA MAN UNITED BAO PEKEE IKISHINDA 1-0 ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top