• HABARI MPYA

  Jumatano, Septemba 28, 2016

  LEICESTER CITY YAILAZA PORTO 1-0 LGI YA MABINGWA

  Mchezaji mpya wa Leicester City, Islam Slimani akikimbia kushangilia baada ya kufunga bao pekee la ushindi timu hiyo ikiilaza 1-0 Porto ya Ureno katika mchezo wa Kundi G Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku huu Uwanja wa King Power, Leicester mjini Leicestershire PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: LEICESTER CITY YAILAZA PORTO 1-0 LGI YA MABINGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top