• HABARI MPYA

  Jumatano, Septemba 28, 2016

  REAL MADRID YALAZIMISHWA SARE 2-2 NA DORTMUND LIGI YA MABINGWA

  Mshambuliaji wa Borussia Dortmund, Pierre-Emerick Aubameyang akiifungia timu yake dakika ya 43 katika sare ya 2-2 na Real Madrid kwenye mchezo wa Kundi F Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Signal Iduna Park. Bao lingine la Dortmund limefungwa ma Andre Schurrle dakika ya 87, wakati ya Real yamefungwa na Cristiano Ronaldo dakika ya 17 na Raphael Varane dakika ya 68 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: REAL MADRID YALAZIMISHWA SARE 2-2 NA DORTMUND LIGI YA MABINGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top