Sergio Aguero akishangilia baada ya kuifungia Manchester City mabao mawili katika ushindi wa 3-1 dhidi ya wenyeji Swansea City Uwanja wa Liberty katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Bao lingine la City lilifungwa na Raheem Sterling wakati la Swansea lilifungwa na Llorente PICHA ZAIDI GONGA HAPA
ICE deports former NFL player
-
Daniel Ogama Adongo, 37, was removed from the U.S. on June 20 after ICE
said he overstayed his visa in 2016
5 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment