• HABARI MPYA

  Alhamisi, Septemba 29, 2016

  ATLETICO MADRID YAILAZA 1-0 BAYERN MUNICH

  Yannick-Ferreira Carrasco akimtungua kipa Manuel Neuer dakika ya 35 kuifungia bao pekee la ushindi Atletico Madrid ikiilaza 1-0 Bayern Munich usiku huu katika mchezo wa Kundi D Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Vicente Calderón mjini Madrid, Hispani PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ATLETICO MADRID YAILAZA 1-0 BAYERN MUNICH Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top