• HABARI MPYA

  Alhamisi, Septemba 22, 2016

  MOURINHO AKENUA MAN UNITED YAPIGA 3-1 VIBONDE KOMBE LA LIGI ENGLAND

  Kocha Mreno wa Manchester United, Jose Mourinho akifurahia baada ya timu yake kushinda 3-1 dhidi ya wenyeji Northampton Town usiku huu Uwanja wa Sixfields. Mabao ya United yalifungwa na Michael Carrick dakika ya 17, Ander Herrera dakika ya 68 na Marcus Rashford dakika ya 75, wakati la wenyeji lilifungwa na Alex Revell kwa penalti dakika ya 42 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MOURINHO AKENUA MAN UNITED YAPIGA 3-1 VIBONDE KOMBE LA LIGI ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top