• HABARI MPYA

  Alhamisi, Septemba 22, 2016

  MAN CITY YAICHAPA 2-1 SWANSEA CITY

  Gael Clichy akipongezwa na Kelechi Iheanacho na wachezaji wenzake wa Manchester City baada ya kuifungia timu hiyo bao la kwanza Uwanja wa Liberty katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji Swansea City kwenye mchezo wa Kombe la Ligi England usiku huu. Mabao ya City yalifungwa na Clichy dakika ya 49 na Aleix Garcia Serrano dakika ya 67, wakati la Swansea lilifunvgwa na Gylfi Sigurdsson dakika ya 93 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAN CITY YAICHAPA 2-1 SWANSEA CITY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top