• HABARI MPYA

  Jumapili, Septemba 25, 2016

  SIMBA NA MAJI MAJI KATIKA PICHA JANA TAIFA

  Kiungo wa Simba, Jamal Mnyate (kulia) akiwania mpira dhidi ya beki wa Maji Maji ya Songea, Alex Kondo (kushoto) katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba ilishinda 4-0
  Mshambuliaji wa Simba SC, Ibrahim Hajib akimtoka beki wa Maji Maji, Lulanga Mapunda
  Beki wa Simba, Mohammed Hussein 'Tshabalala' (kulia) akijaribu kuwatoka wachezaji wa Maji Maji
  Alex Kondo wa Maji Maji akimdhibiti kiungo wa Simba, Said Ndemla 
  Lulanga Mapunda wa Maji Maji akimdhibiti Shizza Kichuya wa Simba
  Beki wa Simba, Janvier Besala Bokungu (kushoto) akimiliki mpira mbele ya beki wa Maji Maji, Tarik Simba  
  Mshambuliaji wa Simba, Laudit Mavugo akimtoka mchezaji wa Maji Maji
  Kiungo wa Simba, Mohammed 'Mo' Ibrahim akimuacha chini beki wa Maji Manji
  Kikosi cha Simba katika mchezo wa jana
  Kikosi cha Maji Maji katika mchezo wa jana
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SIMBA NA MAJI MAJI KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top