• HABARI MPYA

  Jumamosi, Septemba 24, 2016

  ARSENAL YAIFUMUA CHELSEA 3-0 EMIRATES

  Mshambuliaji wa Arsenal, Alexis Sanchez akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la tatu dhidi ya Chelsea katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Emirates leo. mabao mengine ya Arsenal yamefungwa na Theo Walcott na Mesut Ozil PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ARSENAL YAIFUMUA CHELSEA 3-0 EMIRATES Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top