• HABARI MPYA

  Alhamisi, Septemba 22, 2016

  MAJIMAJI WAKIIPASHIA SIMBA SC GYMKHANA CLUB LEO

  Wachezaji wa Maji Maji FC wakifanya mazoezi Uwanja wa Gymkhana Club, Dar es Salaam leo kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya wenyeji, Simba SC Jumamosi Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAJIMAJI WAKIIPASHIA SIMBA SC GYMKHANA CLUB LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top