• HABARI MPYA

  Alhamisi, Septemba 22, 2016

  MALKIA WA KABUMBU AFRIKA MASHARIKI NA KATI WALIVYOREJEA NA MWALI WAO LEO

  Wachezaji wa timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania Bara, Kilimanjaro Queens wakifurahi baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam leo wakitokea Jinja, Uganda ambako jana waliifunga Kenya 2-1 na kutwaa Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MALKIA WA KABUMBU AFRIKA MASHARIKI NA KATI WALIVYOREJEA NA MWALI WAO LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top