Beki wa Barcelona, Gerard Pique (kushoto) akishangilia na Luis Suarez baada ya kufunga katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Borussia Monchengladbach katika mchezo wa Kundi C Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku huu Uwanja wa Borussia-Park mjini Monchengladbach. Bao lingine la Barca lilifungwa na Arda Turan, wakati la Borussia Monchengladbach lilifungwa na Thorgan Hazard PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment