Nyota wa Ureno, Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia bao la kusawazisha Real Madrid dakika ya 89 kabla ya Alvaro Morata kufunga la pili dakika ya nne ya muda wa nyongeza baada ya kutimia dakika ya 90 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Sporting Lisbon ya Ureno usiku wa jana Uwanja wa Bernabeu kwenye mchezo wa Kundi F Ligi ya Mabingwa Ulaya. Sporting Lisbon ilitangulia kwa bao la Bruno Cesar dakika ya 47. Mchezo mwingine wa kundi hilo, Borussia Dortmund iliwafunga wenyeji, Legia Warszawa mabao 6-0 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Election timetable dispute: Court reserves judgment in INEC’s appeals
-
The Court of Appeal in Abuja has reserved judgment in two separate appeals
over a dispute surrounding the timetable for the conduct of the 2027
elections...
42 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment