• HABARI MPYA

  Alhamisi, Septemba 22, 2016

  REAL MADRID YALAZIMISHWA SARE 1-1 NYUMBANI NA VILLARREAL LA LIGA

  Karim Benzema na Cristiano Ronaldo wakiwa wamepagawa baada ya kulazimishwa sare ya 1-1 na Villarreal nyumbani Uwanja wa Bernabeu katika mchezo wa La Liga wakishindwa kuendeleza wimbi la ushindi. Sergio Ramos alisababisha penalti iliyowapa Villarreal bao la kuongopza dakika ya 45 lililofungwa na Bruno Soriano, lakini akaisawazishia Real Madrid dakika ya 48 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: REAL MADRID YALAZIMISHWA SARE 1-1 NYUMBANI NA VILLARREAL LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top