Mwanzo > HABARI PICHA > ATHUMANI ABDALLAH CHINA NDANI YA MWENDO KASI! HABARI PICHA ATHUMANI ABDALLAH CHINA NDANI YA MWENDO KASI! Kiungo wa zamani wa kimataifa wa Tanzania, Athumani Abdallah Mchabwa maarufu Athumani China akiwa kwenye mabasi ya mwendo kasi jana kwenda mjini kushughulikia mipango iliyomleta nchini kutoka Uingereza anakoishi na kufanya kazi Wednesday, September 21, 2016 HABARI PICHA
0 comments:
Post a Comment