• HABARI MPYA

  Jumatano, Septemba 28, 2016

  SERENGETI BOYS WALIVYOWASILI BRAZAVILLE LEO TAYARI KWA KIPUTE CHA JUMAPILI

  Baadhi ya wachezaji wa timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys wakiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Maya Maya mjini Brazzaville, Kongo baada ya kuwasili wakitokea Kigali, Rwanda walikoweka kambi ya kujiandaa na mchezo wa marudiano hatua ya mwisho ya mchuko wa kuwania tiketi ya fainali za U-17 Afrika Madagascar mwakani dhidi ya wenyeji Kongo Jumapili wiki hii Uwanja wa Massamba Sebat mjini Brazzaville. 

  Kipa Ramadhani Kabwili akifurahia baada ya kuwasili Brazzaville. Serengeti imefikia hoteli ya Michael’s iliyopo Barabara ya Nelson Mandela mjini hapa tayari kwa mchezo ambao huo ambao watatakiwa kuulinda ushindi wa 3-2 nyumbani 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SERENGETI BOYS WALIVYOWASILI BRAZAVILLE LEO TAYARI KWA KIPUTE CHA JUMAPILI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top